Thursday 19 June 2014

WANAUME WAPENI DOSE YA NGUVU WANAWAKE ZETU WAFIKE KILELENI

Nasikitisha na kushangaza,unakutana na Msichana wa miaka 28-30
anakwambia tangu aanze Mapenzi akiwa na Miaka 19 hakuna Mwanaume
yoyote amewahi kumfikisha kileleni...Imagine,anafanya Mapenzi miaka
karibu 10 lakini anatumika yeye tu...Amekuwa Sugu sasa na kilele pekee
anachokijua ni cha Mlima Kilimanjaro,amekata tamaa kama kuna kitukama

hicho duniani.. Ukikutana na mwanamke wa namna hii ili umridhishe
inapaswa kwanza uende Gym,ule Siagi na jibini,dozi ya karanga na supu
ya pweza wiki 2 umkeshee kisawasawa..Lakini unapaswa pia kumfanyia
Counselling ili aamini tena kwamba kilele sio Kibo na Mawenzi
tu...inataka Moyo...WANAUME:Msiwafanyie hivyo Wasichana,wapeni dozi
inayostahili,ukipewa chezo kamua haswa,sio unakurupuka tu hueleweki
unachofanya ni nini
Robo saa unakoroma..Huo sio uanaume..Uanaume
kazi..Mnatupa shida tunakuja kuoa Wanawake wamekomaa,hata utumie Mwiko
kilele hakionekani hata kwa darubini... Ukipewa Kazi itendee haki
kazi...Kama hujui kukuna nazi waachie wakwezi...Girls wanapata shida
sana,halafu we mtaani unajitamba kumbe huna lolote.