Monday 30 June 2014

Tabia za Mama Mkwe Ndio Tabia za Mkeo..Chukua hiyo Kubali Au Kataaa

Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama
mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyokama una mpango wa kuoa
usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa
anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama

mkwe.kwanini mama mkwe?1. Mama mkwe ndie aliyemlea mkeo mtarajiwa
kwahiyo mchumba wako atakuwa ameiga na kufundishwa kuwa na tabia kama
mama yake2.Mara mwanamke anapoolewa Mshauri mkuu ni mama yake
mzazi(napenda uamini hili)
kwahiyo maisha yake kwenye ndoa yatategemea
ushauri wa mamaye3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke
ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo
katika njia sahihi.