Thursday 26 June 2014

UNENE NI MBAYA....LAKINI UTAMU WAKE KUNAKO SITA KWA SITA WEWEEEEE ACHAAAA!!!


Watu wengi huamini kuwa unene wao hauwaathiri watu wengine kabisa na haiwahusu watu wengine bali wao wenyewe lakini huko ni kujidanganya kabisa. Kwa nini nasema hivyo? Ukweli ni kwamba upende au usipende unene wako unaonekana na watu wengine na haupendezi japokuwa watu ulionao karibu wataogopa kukuambia ukweli.

Tafadhali naomba unielewe kuwa mimi siko hapa kulalamika au kulaani mtu bali nataka kutoa msaada kwani hata mimi mwenyewe nimeona ugumu uliopo katika
vita vya kutaka kukwepa unene na kwamba inawezekana kabisa kupunguza unene ulionao sasa. Najua kuwa huenda tayari umejaribu kufanya hivyo mara nyingi sana na ulishindwa na sasa umekata tamaa kabisa. Leo nataka  kukuambia kuwa unaweza kuwa mshindi wa kweli.

Usijidanganye kwa kusema “mapenzi hayaangalii kama ni mnene au sio mnene  kwani ni rahisi sanakupenda kwa uda mfupi na baadae mtu akabadili mawazo. Hebu angalia hesabu hii 1 + 1 = 2. Je? Unaamini kuwa jibu hilo ni sahihi? Kama kweli kabisa unaamini kuwa ni sahihi basi naomba uamini usemi wangu ufuatao “Iwapo mtu anapenda au alikupenda wakati huna unene ulionao sasa basi
ujue hiyo ni sawa na 1 + 1 haitabadilika jibu lake na kuwa zaidi ya 2, yaani bado mwenzio hajabadilika anapendelea zaidi maumbile yale ya mwanzo, uwe mwanaume au mwanamke ukweli unabakia palepale. Hatakuambia lakini utaona jinsi anavyogeuza shingo mara nyingi akutanapo na mtu mwembamba kuliko wewe.

Kwa nini wanaume hawapendi wanawake wanene.

HANA VYUMBA VYA KUTOSHA.
Kama vile mtu mwenye familia kubwa hawezi kukubali kuishi katika nyumba ya vyumba viwili ndivyo ilivyo kwa na mwanamke mnene; shingo yake, hips, mashavu, tumbo na makalio yake hayana mvuto  kwa mwanaume.Kuwa na sura nzuri haitoshi kuendeleza mvuto wa awali.

ANAONEKANA KUWA AMESHATUMIKA SANA.
Mwanamke mnene huonekana kama nguo ya mtumba iliotumika na mara nyingine huonekana kama wenye umri mkubwa kuliko umri wake halisi. Kwa maneno mengine mwanamke mnene anaonekana kama tayari ameshakuwa na wanaume wasiopungua 70, hakuna mwanaume atakaefurahia kuwa na mwanamke anaeaminikuwa tayari mwanamke huyu amelala na wanaume wengi na wanaume hao wakiingia ndani ya basi la abilia watajaa na wengine hushika bomba.

ANA MAWIMBI MENGI.
Wakati wa tendo la ndoa mwili mnene wa mwanamke hutoa mlio kama ule wa mawimbi ya bahari yanavyopiga ufukweni kwa Kiingereza wanaita “thwapping sound” haipendezi kabisa na hutengeneza kumbukumbu mbaya ukulinganisha na mwanamke mwembamba. Na sio hilo tu kuna mikao fulani itamshinda mwanamke huyo na kama mumewe ana uume usiozidi nch 6 ataonekana hafai kabisa.

ANASHUSHA HADHI YA MUMEWE.
Hakuna mwanaume atakaejivunia na kufurahia kuonekana na mwanamke mnene na ndio maana wanawake wanene huwekewa kiti cha nyuma cha gari na mwanaume kukaa mbele.

ATAKUWA MVIVU.
Kila mwanume utaekutana nae atakuwa na historia ya kuwa na ndugu,
marafiki au mpenzi wa zamani aliekuwa mnene . Wanawake wanene huwa na uvivu wa kiasi fulani na hilo ni chukizo kwa mwanaume yoyote yule. Mwanamke huyo atakuwa mvivu katika kupiga mswaki wakati wa kulala, kuosha uke mara baada ya roundi ya kwanza, kutawadha vizuri kwa maji baada ya kwenda haja kubwa na kuona kuwa toileti paper ndio njia ya mkato . Bila kujua wanapopanua miguu harufu mbaya humtibua sana mwanaume na hatakumwambia juu ya hilo, na wengine hata kuoga mara 2 kwa siku ni kama adhabu.

                       SABABU ZA WANAWAKE KUTOPENDA WANAUME WANENE.

Kwaasilimia 72 wanawake wanashindwa kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa na kuwadanganya wanaume wao kuwa wamefika kileleni kumbe ni uongo mtupu. Hakuna mtu anaefurahi kusema uongo ule ule mara kwa mara na hivyo
mwanamke huanza kumchukia mwanaume huyo. Wanaume wanene wanakuwa wavivu katika tendo  la ndoa na huhema kama garimoshi na zaidi ya hayo ni mabingwa wa kukoroma wanapokuwa usingizini.

Kutokana na kupungukiwa na nguvu za kiume na kuwa na tatizo la kuwahi kumaliza wakati wa tendo la ndoa mwanaume huyo hatakubali ukweli huo juu ya udhaifu wake na atamlaumu mwamke kuwa na uke mpana au maji mengi na kutafuta mwanamke mwingine. Wanawake hupata shida kuamini kuwa mwanaume anaeishia round moja na kufanya tendo la ndoa mara moja au mbili kwa wiki anaridhika na hali hiyo. Kutokana na hilo mwanaume mnene atachukiwa japo hataambiwa mawazo hayo.Mwanamke aonapo mwnaume mnene anakuwa mvivu katika tendo la ndoa wanawake wengi huamini kuwa wanaume hao wana wanawake wengine wa pembeni na hilo pekee linazaa chuki ya chini kwa chini.

Muonekana wa kitambi na unene kwa ujumla humpunguzia mwanamke hamu ya tendo la ndoa na hivyo kutafuta visingizio vya kukwepa tendo la ndoa jambo ambalo halimfurahishi kwani nafsi yake inamsuta kuona kuwa katika maeneo mengine mambo yake mwanaume huyo ni  mazuri isipokuwa muonekano wa mumewe.Hali ya mwanamke kukwepa tendo la ndoa kwa sabau hiyo huzaa uchungu na huzuni kwake na hayo hupunguza uwezo wake wa kumpenda mumewe kikamilifu.

Wanaume wanene wana uso mbaya.Sio kitambi pekee kinachowachukiza wanawake bali hata muonekano wa uso wako pia. Mwanaume anaponenepa na uso wake pia hupungua mvuko wake. Mashavu na nyama za usoni hupunguza huongezeka na kupunguza uzuri wa sura yake. Unaweza kuuliza vipi kuhusu wanaume wanene wanaokuwa na mahusiano ya kimapenzi na warembo inakuwaje? Napenda nikwambie kuwa tafiti zinaonyesha kuwa uhusiano huo umejengwa katika msingi wa fedha au sifa za kuolewa na mtu wa daraja fulani katika jamii na sio penzi halisi na japo ni penzi bandia haliodumu.


          TAFUTA UFUMBUZI HARAKA
Kama utakasirika kwa kuwa nimesema watu wanene hawapendeki basi wewe sio sehemu ya ufumbuzi wa tatizo bali ni sehemu ya tatizo. Badilisha mtazamo wako na anza kupiga vita unene kuanzia sasa, vita dhidi ya unene inaanzia akilini mwako na ukishindwa hapo basi subiri kaburi. Changamoto kwako ni hii, wape watu sababu za kutosha wakutamani na kukupenda zaidi.

Unga wa PRUNA ndio ufunguo wa kukutoa toka gereza la unene unaokukosesha raha ya m,aisha. Unga huo wa PRUNA unavirutubisho vinavyokufanya upunguze hamu ya kula chakula zaidi ya mwili wako unavyohitaji. Unaweza kusema mbona nakula chakula kidogo nabado
naendelea kunenepa? Ukweli ni kwamba uonapo unanenepa ni ushahidi kuwa unakula chakula kingi kuliko kile ambacho mwili wako unavyohitaji. Ili kuthibitisha hilo  mimi mwenyewe nilifanya utafiti kwa kuacha kula chakula chochote kwa siku tatu mfulilizo.nilipokula chakula cha Jumapili usiku sikula tena hadi Alhamishi asubuhu ila kila jioni nilikamua juice ya machungwa, nikakata vipande vya nanasi na papai na embe na kula hivyo tu. Kwa nyakati za mchana nilikunywa maji yenye uvuguvugu yasiopungua lita moja.

Siku hizo nilikuwa na nguvu ya kufnaya kazi kama kawaida na siku ya tatu nilijiona kuwa na nguvu nyingi zaidi kama vile nimekula kumbe sijala chakula chochote. Nilifanya zoezi hilo mara 3 katika wiki tatu mfululizo na kuona kuwa ni kweli hatuhitaji kula chakula kingi japo kwa macho huonekana ni chakula  kidogo.

Ukitaka ushinde unene agizia unga huo wa PRUNA na pamaoja na kukupunguzia hamu ya chakula pia hupunguza uwezo wa mwili kulundika mafuta. PRUNA huambatana na mazoezi maalumu ya dakika 15 tu.

Kwanini dawa ya PRUNA huambatana na mazoezi hayo maalumu? Mazoezi hayo lengo lake ni kuongezea uimara wa misuli ya mwili wako kwani misuli ndiyo inayotumika kuunguza mafuta na kukufanya uwe mwenye uzito mdogo na sio hilo tu bali misuli hiyo huunguza mafuta hata unapokuwa umelala au kukaa.Maelekezo ya mazoezi hayo mafupi yameambatanishwa na dawa y PRUNA.