Friday 27 June 2014

OMG!! Nilikubali Kumvulia Chu**.. Nika Mmwagia Raha... Nikakubali Kuolewa.. Sasa Najutaaa

Nakijisikia kuomba divorce lakini my marriage inamiezi Sita tu, (dunia itanishangaa) 
nimechoka naumia moyo, sina amani,am unhappy, sad all the time,I cause lots of fights with him and I know its me who is a problem in all these fights, naishi tu ili siku ziende.
Wakati mwingine nashidwa hata kumgusa, namnajua maisha ya ndoa bila tendo la ndoa nyumba inakuwa haina furaha.Ninajitahidi kujilazimisha lakini wapi? Sijui hata kwanini niliolewa . I am 26yrs old Woman with a very good paying job,
actually mimi ni director kazini 
kwangu, sio kwamba ni mama wa nyumbani labda ninamtegemea yeye, hapana. My husband is the same age plus one as I am with a very good job too. What should I do?"