matangazo ya nyuma ya kopo/box la deodorant |
Najua hili tatizo linawakwaza wasichana/wanawake wengi juu ya kuwa na makwapa meusi. Inasemekana kwamba, mara nyingi makwapa huwa meusi
kutokana na kemikali zinazokuwa kwenye deodorants zinazosaidia kuondoa harufu mbaya ya mwili/jasho la kwapa. Lakini hizo hizo kemikali saa nyingine ndo zinazosababisha makwapa kuwa na rangi nyeusi. Pia hizo kemikali kali zinapochanganyikana na jasho husababisha kupatwa kwa rangi ya njano katika nguo haswa sehemu za makwapa.
Vitu vya kuangalia ukiwa unanunua deodorant na wakati wa kujipaka deodorant:
1. Kama unatatizo hili, basi ushauri ni kwamba unatakiwa kununua deodorant zisizo na "Aluminum Compounds." Kumbuka kusoma ingridients kwenye kopo, ili ujue kama hii compound ni moja ya kemikali zilizotumika wakati wa kutengeneza deodorant ama la. Kama ipo kwenye product hiyo basi tafuta product nyingine ambayo haina hii compound.
2. Ukishaoga, hakikisha umejifuta maji vizuri kwenye kwapa na kwapa ni kavu kabisa hivyo ndo ujipake deodorant.
3. Hakikisha deodorant imekauka kwanza kwenye kwapa kabla hujavaa nguo yako.
4. Unapo shevu makwapa zingatia kutoshevu mara kwa mara na pia shevu taratibu bila kuisugua ngozi ya kwapa (irritate).
Pia, ili kuondoa weusi wa kwapani, tumia limao ama ndimu nusu na sugulia kwenye kwapa kila asubuhi na jioni. Walio kuwa wakirecomend na kuongelea hii remedy hawakusema ni kwa muda gani unatakiwa kupata hayo malimao ila, kwa jinsi ninavyoona, hii ni kazi ya muda mrefu kama makwapa teyari ni meusi. Natumaini
hizi home remediz really do work!! Gladly binafsi sina hili tatizo otherwise, ningekuwa wa kwanza kujaribu kwamaana napendaga kujaribugi vitu haswa home remediz ili kujua kama kweli vinafanya kazi kama watu wanavyosema. ila kwa watakao jaribu hii kitu email me ama post your feedback ili tujue kama kweli ukiapply malimao kweli yanafanya kazi. courtesy of About.com
Malimao |
Kama umezoea kukausha nguo na mashine inabidi kuanza kuanika kwenye kamba kwamaana moto wa mashine unakomaza madoa kama haya.
Njia tatu za kuweza kuondoa weusi kwenye Magoti na sehemu za nyuma za mikono (elbows).
changanya sukari na olive oil katika kibakuli ili kutengeneza bodyscrub yako (kienyeji) - sukari inasaidia kuondoa dead skin cells wakati wa kuscrub/kusugua ngozi na olive oil ni kusaidia kumoisturize the skin.
Weusi wa kwapa |
Ukishamaliza kuscrub/kusugua ngozi apply moisturizer yenye deep conditioning kwenye ngozi. Mfano; vasiline yenye cocoa butter deep conditioning (moisturizer ina vitamin E)
Subiri baada ya dakika moja ama mbili hivi baada ya kuapply hiyo moisturizer. Halafu apply mustard oil (provides vitamin A,B & E) . Hii mustard oil, Inasaidia kuondoa weusi na kurudisha rangi nzuri na yakawaida ya ngozi na kufanya ngozi iwe laini. Hakikisha unamassage mustard oil vizuri kwenye ngozi iache kwa dakika 5 ama 10. Halafu osha vizuri na maji ya uvugu vugu ama kitaulo cha uvugu vugu. Unaweza kufanya hivi kila siku jioni ama mara moja kwa wiki.
area ya ngozi uliyokuwa ukiscrub. Acha ikae kwa muda wa dakika 5 hadi 10 halafu osha ngozi. Apply, vaseline cocoa butter deep conditioning (moisturizer) mahali hapo. Nadhani huu mchanganyiko pia unaweza kuapply sehemu za katikati za mapaja kwamaana pia wakati mwingine kutokana na mapaja kusuguana sehemu hizi hubadilika rangi na kuwa nyeusi
Vaseline Cocoa Butter with deep condition |
Natural Coconut oil |
Mustard Oil |