Saturday 21 June 2014

Jinsi ya Kumfanya Mwanamume Apagawe na Penzi Lako

LEO nimependa kuongerea kuhusu namna
ya kudumisha penzi iwapo wewe
umeolewa hasa kwa kina mama ambao
penzi lao ninaelekea kuyeyuka. Na bila
jitihada za hapa na pale penzi lako na
mumeo linaweza kunyauka kabisa!!! Na

ukumbuke wahenga walisema PENZI ni
MAUA kuna kuchanua na kunyauka. Na
penzi linaponyauka huwa yanatokea
maumivu makali
sana ndani ya moyo,
maumivu ambayo hayana kifani. Sasa
ufanye nini ili penzi lako lisinyauke? Zingatia
yafatayo:
i) Hakikisha unakuwa karibu na mumeo
ii) Mumeo akirudi kutoka safarini au kazini
mupokee kwwa mabusu na upendo wa hali
ya juu
iii) Kama utakuwa na nafasi jitahidi
kumuandikia msg mumeo za upendo na
kumfariji
iv) Na mwisho kumbuka kuwa
munapokuwa katika sita kwa sita jitahidi
kutoa sauti ya mahaba huku ukijitahidi
sana kumpa penzi kutumia ujanja wako, na
kama atamaliza mwambie "POLE MUME
WANGU"
.
Kwa leo
ninakomea hapo kumbuka kuwa
wanaume ni watu wa kujaliwa kila wakati
na kubembelezwa Mwanasaikolojia wa
mapenzi Dr. Linda wa chuo kikuuu cha
Oxford aliwahi kunena ya kwamba hakuna
dawa ya mapenzi zaidi ya kuonyesha
upendo kwa umupendae.