Friday 8 April 2016

Wednesday 6 April 2016

Waheshimiwa Wamrejesha Profesa Jay kwenye Gemu

Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Morogoro na rapa nguli nchini, Joseph Haule ‘Prof Jay’ amesema licha ya kuwa na wadhifa wa ubunge, bado ataendeleza fani yake ya muziki kwa kile alichosema hata waheshimiwa wenzake wamemtaka kuendelea hivyo.

Monday 4 April 2016

Diamond, Kiba sasa Bifu Limehamia Kuwa La Kifamilia

Mkali wa Bongo fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’.
Dar es Salaam: Imevuja! Harakati za kusaka mafanikio na kufika mbali kimuziki zimeibua jipya kati ya wakali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba