Friday 25 November 2016

Friday 18 November 2016

Wednesday 16 November 2016

5 reasons why he won't cheat on you, according to research





Have you ever wondered if your partner might be cheating on you, or if, at least, he is considering it?
According to five results of some research carried out, these are ways to know a man who will most likely cheat, and one who can't manage it.

Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema (Video)


Breaking: Calisah aachiwa baada ya kulala polisi kwa tuhuma ya kusambaza video ya utupu ya Wema Mode Calisah ameachiwa jioni hii baada ya siku ya jana kushikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kusambaza mitandaoni video ya utupu ya Wema Sepetu.

Akiongea na Bongo5 jioni kwa njia ya simu wakati akielekea nyumbani kwake, Calisah alisema ni kweli alikamatwa toka jana kutokana na tuhuma za kusamba video hizo mtandaoni

Saida Karoli adai haujui mkataba aliosaini meneja wake na Diamond kuhusu wimbo ‘Salome’

Msanii wa zamani wa muziki wa asili Saida Karoli amedai yeye anasikia kama watu wengine kwenye vyombo vya habari kwamba Diamond ameiangia mkataba na meneja wake wa zamani kuhusu kutumia vionjo vya nyimbo zake katika kutengeneza wimbo ‘Salome’ wa Diamond.

Muimbaji huyo amedai hizo asilimia 25 za mapato za wimbo ‘Salome’ ambazo zilielezwa na viongozi wa WCB hazijui kwa kuwa hakuhusishwa kwenye hilo