Thursday 25 September 2014

Tuesday 23 September 2014

Friday 19 September 2014

Thursday 18 September 2014

Tuesday 16 September 2014

Sunday 14 September 2014

HIZI NI AJIRA MPYA ALIZO ZITANGAZA DIAMOND PLATINUM

Licha ya kuonekana na madansa wa kike katika jukwaa la Fiesta 2014 Mwanza, Diamond anasema hajabahatika kumpata dansa wa kike mwenye vigezo anavyovitaka. “Sina madansa wa kike pale wawili ni wa Vanessa naweza

Saturday 13 September 2014

MAMBO KUMI MUHIMU KATIKA KUDUMISHA MAHUSIANO.

Watu wengi wamekuwa katika hali ya kutafta na kujenga uhsiano wa muda mrefu lakini hushindwa kufanikiwa kutokana na kushindwa au kupuuza vitu vidogo mbele ya wapenzi wao na kushindwa kutambua

FAHAMU KUHUSU DALILI, MADHARA NA TIBA YA KISONONO AU GONO

Kisonono ni ugonjwa wa zinaa unaoambukizwa, ugonjwa huu hutokana na wadudu aina ya Neisseria gonorrhoeae. Ugonjwa huu pia huambukizwa kwa tendo la ngono na hata kutoka kwa mama mjamzito anapojifungua huweza kumuambukiza pia mtoto endapo atakuwa alikuwa

UKIWA HODARI WA KUHONGA, KAA MKAO WA KUACHWA WAKATI WOWOTE!

Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake lakini sasa hivi mambo yamebadilika.Wanawake nao

Friday 12 September 2014

Thursday 11 September 2014

TATIZO LA KUHARIBIKA MIMBA MARA KWA MARA!


Tatizo la kuharibika mimba mara kwa mara kitaalamu huitwa ‘Recurrent pregnancy loss’. Mwanamke hujitahidi kutafuta ujauzito lakini inakuwa ngumu ujauzito kukua hadi kufikia