Thursday 18 September 2014

MKE A RAFIKI YANGU ANATAKA NIMUONGEZEE NJIA ILI WAKATI WA KIJIFUNGUA ASIPATE SHIDA...NIFANYEJEE, USHAURI JAMANI

  

Jamani bongo stars Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa, ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana ujauzito wa miezi
nane sasa bado mmoja ajifungue , sasa juzi nimekutana nae tukapata lunch pamoja sehemu, basi katika kuongea ongea akaniambia dokta wake amemwambia kipindi hichi inafaa ampe sana yale mambo mumewe ili njia ifunguke asipate shida wakati wa kujifungua , sasa mume wake ndo hayupo katika kutaniana taniana akaniambia kama sita jali na nitakuwa msiri niwe nampa kitu mpaka atakapojifungua ili kuongeza njia...Bado sijamjibu na leo nimekuta message akikumbushia Jambo Hilo ..Wadau Nifanyaje?