Thursday 8 October 2015

WASICHANA WA AINA HII NI HATARI SANA KUWA NAO KIMAPENZI

Hakikisha unawakwepa aina hii ya wanawake ili usijiingize kwenye matatizo. Nitakwambia ni kwa nini…..
1.Demu wako wa zamani Ni vizuri kutorudia mahusiano ya zamani na zaidi kama kwenye mahusiano yenu ya mwanzo mambo hayakuishia kwa uzuri. Sababu kuu ya msingi, kiukweli ni kwamba hakikamwanzoni mlikuwa hamuendani na ndio

HIVI NDIVYO VITU AMBAVYO HUTAKIWI KIVIFANYA WAKATI UNAFANYA MAPENZI .SOMA HAPA NIKUJUZE


Unapokuwa kitandani na mpenzi wako kitu cha kwanza kukifikilia ni kiasi gani unaweza ukamfurahisha mpenzi wako kwa maana nyingine kumridhisha.Ili kufanya ndoto yako ya kumridhisha mpenzi wako isipotee basi soma hapa hivi vitu nilivyo kuandalia hapa chini vinaweza kukusaidia kudumisha penzi lenu. 

Wednesday 7 October 2015

Tuesday 6 October 2015