Thursday 29 September 2016

Wednesday 28 September 2016

Yajue Mapenzi Na Sababu 9 Kwa Nini Watu Hujipata Wamependa

Mapenzi ni nini? Kuuliza swali hili kwa mtu yeyote atakupa majibu yasiyokuwa na kikomo. Mapenzi ni dhana pana ambayo kila mtu anakuwa na mtizamo tofauti wa kueleza. 
Kiufupi mapenzi ni jambo lisiloeleweka, jambo lisilo na mwisho. Na kwa

Wanaume wa siku hizi mbona mnalia lia sana kuchunwa?

Hata maandiko matakatifu yameandikwa mwanaume utahangaika juani ili umlishe mkeo na mwanamke atazaa kwa uchungu, sasa imekua siku hizi wanaume kumhudumia mwanamke imekua ni kulia lia sana mwanaume wa ukweli anatakiwa ajue mpenzi wake au mke anamhudumia vipi.

Tuesday 20 September 2016

DHAMBI YA KUMLIZA, KUMTESA ANAYEKUPENDA KWA DHATI!

Mpenzi msomaji wangu, hakuna ubishi mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yetu yaweze kukamilika. Bila kuwa na mtu ambaye kuna wakati unammis, ukiwa naye

Mapenzi:..Hivi Mmeoana ili mgawane vyumba au Vitanda?

KARIBU tena jamvini mpenzi msomaji wangu wa makala za XXLove kwa ajili ya kupata chakula cha ubongo ili uelimike na kudumisha uhusiano wako wa kimapenzi na maisha yako ya kila siku. 
Mada yangu ya wiki mbili mfululizo zilizopita juu ya ulazima wa kulifanya

Monday 19 September 2016

Sunday 18 September 2016

Je Wazifahamu Sehemu Kuu Zenye Msisimko Katika Mwili Wa Mwanamke

Yawezekana kuna wapo wanaofahamu na ambao hawafahamu pia, tujikumbushe kidogo hapa jinsi ya kuutawala mwili wa mwanamke ukiwa kwenye 69. Huwa unamtawalaje? au unaingia kwa papara bila mwenzako hajawahi tayari kuingiliwa wewe ulishaingia na kumaliza haja zako bila

JINSI VISINGIZIO VINAVYOHARIBU PENZI

Mwanadamu ameumbwa na kiu kubwa ya kupenda kuwa sahihi, kuonekana anaweza na pia kujiona kuwa anafaa na kukubalika. Kutokana na ukweli huo Mwanadamu anajiona kuwa anao wajibu wa kufanikiwa na kukubalika kutokana na mafanikio ayapatayo katika maeneo

TOFAUTI ZA UTAMU WA PENZI



TOFAUTI ZA UTAMU WA PENZI

Ni kweli kabisa kuwa penzi kati ya mwanaume na mwanamke hupitia mabadiliko mbalimbali kwani mtu hukutana na vitu mbalimbali na mawazo mbalimbali yanayoweza kumpa sababu ya yeye

Njia Nne Za Kufanya Ili Uongeze Kujiamini Kwako kwa Wanawake

Kuweza kujiamini kwa mwamume ni jambo muhimu katika huu ulimwengu ambapo kunatofautisha kati ya mwanamume thabiti na wale feki. Kila mwanamume anajaribu kuimarisha kujiamini kwake katika huu ulimwengu. Lakini ushawahi kujiuliza ni mbinu gani unazofaa kutumia ili uongeze

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako


Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo

Saturday 17 September 2016

Fanya Mazoezi Haya kwa Wiki Tatu Kuongeza Nguvu za Kiume!

Kuna jambo linanishangaza sana, utakuta mwanaume anapata muda wa kukaa kitako muda wa dakika tisini au zaidi akiangalia mpira, au masaa manne, matano na wengine wanakesha kabisa katika baa wakinywa na kula tu, lakini wanasahau kabisa kutenga muda tena mdogo

UKWELI JUU YA UKUBWA WA UUME

Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee na uone mambo yalivyo matamu usifuate

Friday 16 September 2016

ZIJUE DALILI ZA MSICHANA MWENYE MIMBA{UJAUZITO}

MWANAMKE anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.
“Homoni zinazosambaa mwilini mara tu unapopata ujauzito husababisha mabadiliko

VISA VYA HUYU KIUMBE MWANAUME!

'
Kwenye swala la mapenzi wanaume hawana mzaha'
Katika Gazeti la Mwananchi la hivi karibuni la May 18, 2010, kuna habari iliyoandikwa na mwandishi Anthony Kayanda wa Kigoma ambayo ilinisikitisha sana. Habari

Ukifanya Haya Mambo Mapenzi Yatanoga Kwa Asilimia 90

Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbili tofauti wanavyotambulishana

Boresha ndoa yako iwe na mvuto kwa kufanya haya

umeahi kujiuliza #MTU #MZURI ni kwanini ndoa nyingi hazidumu? na wala sio imara? unaweza ukawa unafanya vitu bila kujua kama unakosea na kuvuruga ndoa yako! basi leo mtu mzuri nimepoteza muda wangu kuku kumbusha baadhi ya vitu kutoka kwa wataalamu mbali

Thursday 15 September 2016

Kanitafutia Kazi Sasa Nimekua Mtumwa wa Ngono Kwake

Ni miezi miwili sasa tangu nimeacha kazi kampuni ya zamani, na sasa nipo kwenye kampuni nyingine, hii kazi mpya nimetafutiwa na Boss wangu ambae ndie mkuu wa idara yetu, nimepanda cheo kidogo, kule nilikuwa Karani na huku kupya mimi ni Supervisor.

Wednesday 14 September 2016