Saturday 31 January 2015

Friday 30 January 2015

Wednesday 28 January 2015

OYA MWANA KAMWE MKAA HAUOSHWI!

Niaje…niaje masela wangu? Kitaa hiyo kwa fasi ya kati barida? Mitikasi vipi wana? Kama freshi basi ndo mpango mzima! Ama nini? Basi mzuka kwa wingi chaliiangu.

MCHEZO MCHAFU KWA WASANII WENYEWE KWA WENYEWE

HUKU skendo ya watayarishaji wa sinema Bongo kuwarubuni wasichana kufanya nao ngono ikiwa bado haijapoa, orodha ya wasanii waliofanya mchezo mchafu wakati wa kurekodi ‘muvi’ mpya hivi karibuni imewekwa kweupe, makabrasha ya Ijumaa yamebeba ripoti kamili.

Tuesday 27 January 2015

Monday 26 January 2015

UNAMPENDA, UNATAKA NDOA

Ni wiki nyingine ambapo Mwenyezi Mungu ametujaalia kukutana katika busati letu la mahaba kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa kimapenzi. Ni matumaini yangu kuwa mada ya wiki iliyopita ilikuingia vizuri na

Friday 23 January 2015

WEMA AJUTA KUWEKA KOPE BANDIA

BEAUTIFUL Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa anajuta kutumia kope za bandia kwa muda mrefu kwani zimeharibu kope zake za asili.

HAYA NDIO MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUWA MJAMZITO

Ujauzito ni safari ndefu inayomchukua mwanamke miezi tisa au majuma arobaini hadi kujifungua. Ni safari yenye mikikimikiki na hatari nyingi kwa mama na mtoto. Tusichukulie suala la ujauzito kama jambo la kawaida ingawa pia ni wajibu kwa