Monday 31 July 2017

Harmonize usiogope maneno – Diamond

Msanii Diamond Platinumz na mmiliki wa label ya WCB, Diamond Platnumz amempa ushauri msaanii wa kwanza kusainiwa katika label hiyo, Harmonize kuhusu maneno ya watu.


Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma yake mpya ‘Eneka’, kupitia mtandao wa Instagram amemtaka Harmonize kutoogopa maneno ya watu katika kazi zake.

Sijamuona wa kushindana na Alikiba – Abdu Kiba

Msanii Abdu Kiba amemkingia kifua kaka yake, Alikiba wakati huu ambao mashabiki wanamuandama kuhusu kutoa ngoma mpya.


Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds Fm kuwa hilo wanalichukulia kama changamoto ila kitu ambacho hawakipendi ni kuhusishwa na team za kimuziki au kuonekana wanajipanga kushindana na watu fulani.

Wizkid atimiza ahadi yake kwa mashabiki

Msanii Wizkid ametimiza ahadi yake leo Jumatatu ya kuachia ngoma yake mpya aliyofanya na mkongwe wa muziki nchini Nigeria, 2Face.


Wiz alitoa taarifa za kuachia wimbo huo uitwao ‘Medicine’ kuanzia Jumapili hii kupitia mtandao wa Twitter. Mkali huyo wa ‘Come Closer’ yupo mbioni kuachia ngoma yake nyingine aliyofanya na mwanadada Tiwa Savage.

VYAKULA Vinavyoongeza HAMU ya Kufanya Tendo la Ndoa

Historia inaonesha kuwa kwa kipindi kirefu, wanawake na wanaume wamekuwa wakitumia chakula kumvutia mpenzi. Mara nyingine chakula hicho kinakuwa kinaongeza hamu ya kujamiiana na kuna wakati ni harufu au ladha ya chakula hicho ndiyo inayokufanya

SHAMSA Ford Yupo Tayari Kuachika

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford ambaye ni mke wa ndoa wa mfanyabiashara Rashid Said ‘Chid Mapenzi’ amefunguka kuwa, yupo tayari kupewa talaka kuliko kuacha kazi yake ya uigizaji.

Ufanye Nini Unapovutiwa Kimapenzi na Mtu Mwingine

Wapo watu ambao wameoa au wana wapenzi walioahidiana kwa mambo mengi, lakini wamekuwa wakikabiliwa na tatizo la kuvutwa kimahaba na watu wengine. Hali hii huwatokea wawapo masomoni, kazini, kwenye biashara, mbali au pengine hata karibu na wenza wao wa zamani.

Nini Maana ya Kubemenda Mtoto....Soma Hapa



Kumbemenda mtoto ni mtoto kutokua vizuri ikidhaniwa kutokea kutokana na mama anayenyonyesha mtoto kukutana kimapenzi na mwenzi wake hasa kipindi mtoto bado ni mchanga na ananyonyeshwa.

SABABU za Marekani Kuwanunulia Wanajeshi Dawa za Kuongeza NGUVU za Kiume

Ukiacha mtafaruku uliojitokeza baada ya Rais wa Marekani, Donald Trump kusema kupitia ukurasa wake wa Twitter kwamba watu waliobadili jinsia hawataruhusiwa kwenye Jeshi la nchi hiyo, takwimu zimekuwa zikitolewa kuonesha kwamba watu waliobadili jinsia wanahitaji gharama ndogo sana za huduma za kiafya.

Je Mwanamke Kupigwa Ndio Utamu wa Mapenzi?

Nimeliona sana hili. Wanakuja wanalia, ukiwauliza kwa nini. Boyfreind wangu kanipiga, siku nyingine tena hivyo hivyo. Huwa najiuliza kwa nini huwa wanaendelea na mahusiano. Nyinyi wadada kwa nini mnaendelea kwenye mahusiano ambayo kupata vipigo ni sehemu ya kawaida kwenu.

KAULI Ambazo Ukizisikia Zinaashiria Uhusiano WENU Kuelekea Ukingoni.

Kuna kauli nyingi ambazo ukiwa kwenye uhusiano usingependa kumsikia mwenza wako akizisema.

Kauli kama “Inabidi tuongee” ni miongoni mwa kauli ambazo husababisha aliyeambiwa akose raha kwa muda wote anaosubiri mazungumzo hayo. Wakati mwingine, kauli kama hizi zisizoeleweka huwa ni viashiria tu kwamba ya kwamba jambo kubwa na la kutisha linakaribia kutokea kwenye uhusiano wenu.

RC Makonda Akabidhiwa Ripoti ya Wezi na Magari na Vifaa Dar, 73 mbaroni

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekabidhiwa ripoti ya wezi wa magari pamoja na vifaa vya magari na Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Lucas Mondya ikiwa ni miezi kadhaa toka mkuu huyo aliagize jeshi hilo baada ya matukio ya namna hiyo kushamiri ndani ya mkoa huo.

Hivi Unajua Kidevu Kina Raha yake Katika Mapenzi Hasa Kile Chenye Ndevu?

Kuna sehemu kibao ambazo ukizitumia kumpatia mwanamke raha atajisikia faraja sana kuliko kuwa unakalili baadhi ya sehemu ambazo zimekuwa yeboyebo.
Kama mwanaume unatakiwa kuwa mbunifu ili kumpatia mpenzi wako raha yaan hata kama anakusaliti akienda nje apadharau na aone kwako pako tofauti na pengine.

Ruby Ndani ya Komaa Concert Dar, Kucheza Huku Kweli ana Mimba?

Tamasha la Komaa Concert la EFM lililofanyika weekend hii katika viwanja vya Tanganyika Pakers liliwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki akiwemo, Ruby ambaye anadaiwa kuwa ni mjamzito. Muimbaji huyo alionekana akicheza kwa nguvu zake zote hali ambayo iliibua

Sunday 30 July 2017

TIMU ya Barcelona Yaibwaga Real Madrid 3-2

Gerard Pique akiifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 50 ikiilaza 3-2 Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Mabao mengine ya Barca yalifungwa

OMMY Dimpoz Akana Kufundishwa Kuendesha Gari na DEMU

Msanii Ommy Dimpoz ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Cheche' amefunguka na kusema aligoma kabisa kujifunza au kufundishwa gari na demu wake mpaka siku alipokuja kununua gari yake ya kwanza ndipo alijifunza kupitia gari yake.

Lipumba Amchokozi Amwita Tena Maalim Seif Ofisini

Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) anayetambuliwa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad ameshindwa kutekeleza majukumu yake kama kiongozi.

HATIMAYE NEC Wajitokeza na Kutoa Ufafanuzi Kuhusu UTEUZI wa Wabunge CUF

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefafanua juu ya uteuzi wa wabunge wapya wa Viti Maalumu wa Chama cha Wananchi (CUF).
Imesema kuwa imesikitishwa na kushangazwa na taarifa za Baraza Kuu la Taifa la chama hicho kwamba tume hiyo imekiuka kanuni zake katika uteuzi wa wabunge wanane wa chama hicho ili kujaza nafasi za wazi zilizotokea hivi karibuni.