Monday 31 July 2017

Ruby Ndani ya Komaa Concert Dar, Kucheza Huku Kweli ana Mimba?

Tamasha la Komaa Concert la EFM lililofanyika weekend hii katika viwanja vya Tanganyika Pakers liliwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki akiwemo, Ruby ambaye anadaiwa kuwa ni mjamzito. Muimbaji huyo alionekana akicheza kwa nguvu zake zote hali ambayo iliibua
maswali mengi kama ni kweli muimbaji huyo ana mimba au la kama baadhi ya watu wanavyodai katika mitandao ya kijamii.