Monday 30 June 2014

USIDANGANYIKE; PETE YA UCHUMBA SI NDOA! KWA NINI NASEMA HIVYO? INGIA HAPA UTANIELEWA TU.

NAJIVUNIA kuwa na msomaji kama wewe, mwenye upeo mkubwa wa kufikiri na lengo la kujifunza kila siku. Wewe ni kiungo muhimu sana katika maisha yangu. Hebu fikiria, vipi kama nitaandika tu halafu hakuna wa kusoma? Nadhani yote yasingekuwa na maana, lakini kwa sababu unasoma na nina uhakika huo, basi acha nijivunie.

Usisubiri mpaka afikirie kutafuta wa kumtuliza!


NILIWAHI kuandika kabla, leo narudia tena, jinsi unavyoishi leo ni matokeo ya ulivyokuwa ukiishi zamani. Kama unaishi maisha magumu na tabu zinakuandama kila kona, vuta picha uangalie miaka mitano nyuma ulivyokuwa ukiishi.
Rafiki zangu, pointi kubwa hapa ni kwamba, unatakiwa kuangalia kila hatua

Saturday 28 June 2014

BALAA LAIKUMBUKA UINGEREZA WAKOSA MBEGU ZA KIUME

Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu duni.
Onyo hili limetolewa na shirika la kijamii la matibabu ya uzazi nchini humo BFS.

JE UNAJUA KWAMBA DEODORANT UNAYOTUMIA INASABABISHAJE UNJANO WA KWAPA NA NI DEODORANT GANI NZURI KWA MAKWAPA YAKO? PATA HABARI JUU YA KUZUIA MATATIZO HAYA...

matangazo ya nyuma ya kopo/box la deodorant
Katika peruzi peruzi zangu leo, nikitafuta njia mbalimbali za kuweza kusafisha madoa katika nguo kabla ya kufua, nilifanikiwa pia kukuta na kusoma njia mbalimbali za kienyeji zinazoweza kusaidia kuondoa rangi nyeusi kwenye makwapa, magoti na kwenye mikono sehemu za nyuma (elbow).

AIBU NA FUNDISHO, DENTI WA CHUO AVUJISHIWA PICHA ZA UTUPU, NI BAADA YA KUJISAHAU NA KUZIKUSANYA NA ASINMENT KWENYE FRASH


denti mmoja wa chuo kimoja ambacho tusingependa kukitaja jina kwa kuhofia maadili, amejikuta akipata aibu ya mwaka baada ya picha zake za faragha kusambaa kwa kasi ya ajabu mtandaoni , denti huyo anayesoma masomo ya biashara inadaiwa alikusanya kazi ambayo waliachiwa

Friday 27 June 2014

MZUNGUKO WA HEDHI (MENSTRUAL CYCLE)

 
MZUNGUKO UNAOPEVUSHA MAYAI
MZUNGUKO huu kitaalam unaitwa ‘Ovulatory cycle’ pia unaweza kuwa mfupi mrefu au wa kawaida kama tulivyoona katika sehemu iliyopita.

NINI HUSABABISHA KUWASHWA HASWA SEHEMU ZA SIRI ZA WANAWAKE?..JIBU HILI HAPA.

Kama kawaida, wanawake wengi wengi hupenda kuongelea jinsi ya kujitunza ili kupendeza. Kwa mfano; jinsi ya kutake care nywele, vipodozi vizuri kwa ngozi, mavazi, mazoezi ya mwili ili kupunguza uzito n.k. Lakini ni mara chache sana utakuta wanawake wakiongelea kuhusu usafi haswaa wa mwili. Mfano; usafi kwenye sehemu muhimu za mwili. Nikawaida

Thursday 26 June 2014

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya ndoa

Dalili za mwanamke anayetoka nje ya
ndoa hazitofautiani sana na zile za
mwanaume. Kuna maelezo ya kitaalamu
kwamba, mwanamke anapotoka nje ya
ndoa yake, inakuwa rahisi sana
kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo
kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli
kwamba, hisia zinakuwa na nafasi
kubwa sana kwa mwanamke, kwani
mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko
mwanaume. Bado nasisitiza kwamba,
haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia

WAJUA UKIMFANYIA HAYA MPENZI WAKO HATOKUSAHAU KAMWE


Habari yako ndugu msomaji?  Natumaini u mzima na mwenye afya njema.
 1. KILA siku usisahau kumsifia kwa kumwambia ni kiasi gani alivyo mzuri. Kumbuka kila msichana anapenda kusifiwa hivyo unapomuambia yeye ni mzuri anaona una mthamini kuliko

UNENE NI MBAYA....LAKINI UTAMU WAKE KUNAKO SITA KWA SITA WEWEEEEE ACHAAAA!!!


Watu wengi huamini kuwa unene wao hauwaathiri watu wengine kabisa na haiwahusu watu wengine bali wao wenyewe lakini huko ni kujidanganya kabisa. Kwa nini nasema hivyo? Ukweli ni kwamba upende au usipende unene wako unaonekana na watu wengine na haupendezi japokuwa watu ulionao karibu wataogopa kukuambia ukweli.