Saturday 21 June 2014

HUYU NDIO MDADA ALIYEKUA AKIMLA NYAMA HOUSE GIRL WAKE...!

Anaitwa Amina Maige au Amina kumeza


Yupo segerea hivi sasa na na jana kesi yake ilisomwa.


Yusta dada wa kazi alokuwa akiteswa na boss wake kwa muda wa miaka mitatu. Boss mwenyewe ndio huyo bidada hapo juu wala hafananii na unyama alokuwa akiufanya kwa mtoto wa watu.
Picha na story kwa hisani ya Gea Habib wa heka heka za leo ndani ya leo tena....