Wednesday 25 June 2014

FAHAMU UKWELI KUHUSU UKUBWA WA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAUME


UKWELI KUHUSU UKUBWA WA UUME
Yafuatayo ni majumuisho ya matokeo ya tafiti mbalimbali juu ya ukweli juu ya ukubwa wa uume. Tafiti hizo zimefanywa na wanasayansi wa mapenzi toka nchi za Ujerumani, Uingereza, Sweden, Nigeria na Afrika ya kusini. Jisomee
na uone mambo yalivyo matamu usifuate maneno ya mitaani na jichunguze uone kama uko katika kiwango au la.
(1)   Iwapo wewe ni mwanamke na hupendelei uume mkubwa basi wewe ni wa ajabu.
(2)        Wanawake wengi hupendelea uume mkubwa zaidi ya wanaume kupendelea matiti au makalio makubwa.

(3)        
Kwa wastani wanaume wengi wana uume wenye urefu wa kati ya nchi 6 (CM 15) na nchi 7 (CM18) na unene kati ya nchi 5 (CM12) na nchi 51/2 (CM 131/2).


CREDIT: PENDO1