Habari wadau kunadada mmoja, jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya
kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye
hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na
bado mchana akitoka kazini anataka afikiee kwenye mapenzi.
Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili. Hebu tuambizane anacho fanya uyu dada ni sahihi...??