Friday 27 June 2014

OMG!! Help Me!! Siwezi lala Bila yaKufanya Mapenzi.... Huyu Hapa Kimwanaaaa


Wakati nasoma sekondari kuna dada alikua hadi anazimia mara adondoke yaani tabu tupu. AKIPELEKWA HOSPT MADAKTARI WANATUULIZA je ana mpenzi?
( maana tulikua tunatoka sehemu moja hivyo tulikua
tunamsindikiza) japo tulikua bodin kwa uoga tulisema HANA lakini alikua nao na akigombana na one of them ndo anaumwa
na kujaamiiina ilikua kawaida sana kwake
Sasa basi juzi nikaambiwa mtu flani muacheni tu awe hata na watoto maana hawezi lala bila kujamiina SASA NIKABAKI NA SWALI JE HUO NI UGONJWA au nikujiendekeza?