'MSITUTISHE" Uturuki yasema haiogopi vitisho vya Marekani Rais Recep Tayyip Erdogan ameapa kutotii vitisho vya Marekani kuhusiana na mchungaji anaezuwiliwa nchini Uturuki, huku mzozo baina ya washirika hao wa NATO ukizidi, na kusababisha kuporomoka sarafu ya Uturuki la Lira. Read More