Wednesday 31 May 2017

Ndesamburo alikua shujaa wa mabadiliko – Mh. Lowassa


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa ameeleza kusikitishwa na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo (Chadema) na kueleza kuwa alikua shujaa wa mabadiliko.

Mh. Edward Lowassa

Kesi ya ulevi ya mkalia kooni Tiger Woods

Siku moja baada ya mchezaji nyota wa gofu Tiger Woods, kukanusha kuwa hakuwa amelewa wakati polisi walipomkamata siku ya Jumatatu, taarifa za polisi zinasema kuwa mchezaji huyo alikutwa amelala ama (amezima) kwa ulevi wakati injini ya gari ikiwa inafanya kazi.

Mchezaji nyota wa gofu Tiger Woods

TANZIA: Mzee Ndesamburo afariki dunia

Mbunge wa zamani wa Moshi Mjini (Chadema) Philemon Ndesamburo amefariki dunia ghafla leo, wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi.

Mzee Ndesamburo

TANAPA yatoa ofa kwa Watanzania

Kufuatia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani, Wizara ya Maliasili na utalii pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira imeruhusu Watanzania kuingia kwenye hifadhi za wanyamapori bila kiingilio.

Kocha wa Dortmund, Thomas Tuchel aachia ngazi

Kocha wa klabu ya Borussia Dortmund, Thomas Tuchel ameamua kuondoka ndani ya klabu hiyo baada ya kuiongoza kwa miaka miwili.

Kocha huyo mwenye umri wa miaka 43 alichukua mikoba ya kocha Jurgen Klopp’s mwaka 2015 ya kukinoa kikosi hiko.

Mimi na Darassa hatulipishani fadhila – Ben Pol

Msanii Ben Pol amesema ngoma yake mpya ‘Tatu’ aliyomshirikisha Darassa sio malipo au fadhila baada ya kufanya vizuri katika wimbo ‘Muziki’ bali wimbo wake ulikuwa unamuhitaji Darassa.

Darassa na Ben Pol katika video ya Muziki

Barcelona yapata kocha mpya

Baada ya Kocha Luis Enrique kutangaza rasmi kuwa atastaafu kuifundisha klabu ya Barcelona hatimae klabu hiyo imemtangaza rasmi kocha wa zamani wa Athletic Bilbao, Ernesto Valverde kuwa kocha wao mkuu mpya.

Ernesto Valverde

Taifa Stars yawasili Misri (Picha)

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania – Taifa Stars imewasili salama Tolip Sport City, Alexandria nchini Misri tayari kabisa kuanza kambi ya wiki moja kujiandaa kucheza na Lesotho katika mchezo wa Kundi L kuwania kucheza fainali za AFCON.

Dogo Janja kufanya biashara na watoto

Msanii wa Bongo Fleva, Dogo Janja amefunguka kwa kusema kuwa yeye hana mpango wa kufanya biashara ya nguo kama wasanii wengine bali anafikiria kuwa na bidhaa za michezo za watoto.

Dogo Janja

Wenger akubali mkataba wa miaka miwili

Meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amekubali kuchukua mkataba wa miaka miwili katika klabu hiyo, jambo ambalo litamfanya kocha huyo kusalia The Gunners hadi mwishoni mwa mwaka 2019.
Wenger na mmiliki wa klabu hiyo Stan Kroenke, walikutana hapo jana kuamua mustakabali wa meneja huyo, na kisha uamuzi wao ukawasilishwa katika mkutano wa bodi hii leo.


Diamond ashindwa kuhudhuria mazishi ya Ivan, Uganda

Baada ya Diamond Platnumz kutangaza kwamba angehudhuria mazishi ya aliyekuwa mume wa Zari, Ivan Ssemwanga, ameshindwa kuhudhuria mazishi hayo yanayofanyika jioni hii katika makaburi ya ukoo wa marehemu yaliyoko Kayunga, nchini Uganda.

Zari akiwa na watoto wake

Lewis Hamilton aopoa mrembo mpya

Dereva mahiri wa magari ya Mercedes kutoka Uingereza, Lewis Hamilton aliyeshindwa kuwakilisha vizuri timu yake katika mashindano ya Formula 1 mjini Monaco ameamua kupoza machungu kwa kuopoa mrembo mpya.


Atumia Sare za JWTZ Kuwatapeli Raia..!!!

Mkazi wa Kitangili, Shinyanga Francis Kilalo (31)anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora kukutwa na sare na vifaa vingine vya Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) ambavyo anatuhumiwa kuvitumia kupateli na kuwadanganya wananchi kwa kuchukua

Tuesday 30 May 2017

Jambazi Mwingine wa Kike Kenya Atunguliwa Risasi na Kuuwawa...Alikuwa Rafiki wa Yule Alieuwawa Mwanzo

Police on Sunday gunned down two suspected gangsters believed to be members of the same gang as slain gangster, Claire Njoki Mwaniki, famously known as “Clea Adi Vybz.”

One of the suspects, known by her alias- “Marsha Minaj”, is said to have been the best friend of the late Claire Njoki.





Marsha Minaj (left) with her friend Clea Adi Vybz“Minaj” was shot dead together with a male suspect believed to be her boyfriend on Sunday afternoon at a house in Migingo, in Patanisho area.

The suspects were gunned down following a tip-off from members of the public on the whereabouts of the wanted criminals.

Confirming the shooting, Nairobi County Police Commander Japheth Koome said when the police went to the house they were in, they found the two and attempted to arrest them but they engaged them in a shoot out.

“The officers were forced to return fire and they managed to fatally injure the two and recovered a pistol, five rounds of ammunition and three spent cartridges from the suspects,” Mr Koome said.

After the shooting, a mysterious police officer who identifies himself as “Hessy wa Kayole” on Facebook, posted gory pictures of the killed suspects on the Facebook group called Kayole Crime Free.

Hessy had previously warned the female suspect through the same platform, that she would be killed if she did not reform from a life of crime.

Below are the photos. Viewer discretion is advised