TANAPA yatoa ofa kwa Watanzania Kufuatia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani, Wizara ya Maliasili na utalii pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na mazingira imeruhusu Watanzania kuingia kwenye hifadhi za wanyamapori bila kiingilio. Soma taarifa kamili: Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook