Monday 29 May 2017

Kudadadeki..IGP Sirro Aanza Kazi kwa Kutoa Amri Hii kwa Polisi Wote Nchini..!!!



Leo baada ya kamanda Simon sirro kuapishwa kuwa IGP ametoa onyo kwa wahalifu wote wanaendelea kufanya mambo ya ajabu.


"Watanzania sasa tushirikiane kukomesha Uhalifu kwa pamoja, atoa salamu kwa wahalifu wote" asema kamanda Sirro.


Sasa wale wauaji wa Kibiti na sehemu nyingine mjiandae Kamanda amekuja tena.