Tuesday 30 May 2017

Amekuoa Lakini.... Lazima Asote Kuipata..!!!!

Japo amekuoa, kuipata papuchi yako lazima akubembeleze sana na umfikirie sana, ndipo aipate. Siyo kwamba kwa kuwa amekuoa basi anakuwa anakugeuza na kukutumia kadri apendavyo. No ! No thank ü.


Atakuchakaza. Unatakiwa uendelee kutizamwa ukipita barabarani. Si unajua tena mwanamke kupendeza ? Wengine wanasema mwanamke mazingira.


Wanaume wamekuwa na tabia ya kumgegeda mke frequently na ukikubaliana naye atakuchakaza halafu aanze kutamani vibinti vidogo. Lazima mwanamke uendelee kutunza urembo wako kwa kutoa papuchi yako aste aste (namaaanisha kwa nadra). Kuna visingizio vingi unaweza kutumia mfano : sijisikii, nimechoka, niko mp, n.k.


Na ikatokea numéo kachepuka, ukainyaka na kuthibitisha na wewe muonyeshee kuwa unaweza kuchepuka. Chepuka na ww makusudi mazima. Maana si unavyo vigezo vya kuchepuka ?? Ndiyo. Bado unalipa.


Wanawake hunyanyasika sana, unakuta yy kakongoroka aliyemkongorosha anaanza kutia jeuri. Sasa dawa yenu ndiyo hiyo.


Mapenzi siyo kuchomeka tu !!