Wednesday 31 May 2017

Man United yatajwa kua klabu yenye thamani kubwa zaidi duniani

Klabu ya Manchester United imetajwa kuongoza orodha ya vilabu vyenye thamani kubwa duniani.


Kwa mujibu wa Kampuni ya KPMG, imesema timu hiyo imeongoza orodha hiyo kutokana na haki za kupeperusha matangazo, faida, umaarufu, uwezo kimchezo na umiliki wa uwanja. Hizi ni timu 15 zinazoongoza orodha hiyo.

1. Manchester United (€3.004bn)
2. Real Madrid (€2.895bn)
3. Barcelona (€2.688bn)
4. Bayern Munich (€2.367bn)
5. Manchester City (€1.909bn)
6. Arsenal (€1.882bn)
7. Chelsea (€1.524bn)
8. Liverpool (€1.260bn)
9. Juventus (€1.158bn)
10. Tottenham Hotspur (€978m)
11. Paris Saint-Germain (€948m)
12. Borussia Dortmund (€917m)
13. Atletico Madrid (€771m)
14. Schalke (€663m)
15. AC Milan (€504m)