BABY ni neno la Kiingereza lenye maana ya mtoto, tena mara nyingi linatumika kwa mtoto mdogo. Pia lina maana nyingine ya mpenzi. Ni neno maarufu sana siku hizi; hata wazee kabisa, utasikia wanaitana baby!
Saturday 12 September 2015
Tuesday 1 September 2015
Anasema Hanipendi Nilivyo, Ila Kwasababu Namufikisha Kileleni Basi Ndio Sababu ya Kuwa na Mimi
Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia
Subscribe to:
Posts (Atom)