Sunday 31 August 2014

Saturday 30 August 2014

UUME AUSIMAMI HADI NIUSHITUE

Habari wapendwa,Naombeni mnisaidie,nina BF wangu ambaye tuko wote huu sasa ni mwaka 1,Ila kama six monthy sasa ananipa wakati mgumu sana,pale tunapofikia kwenye swala la maandalizi na

Friday 29 August 2014

SHAMSA FORD: SINA RAFIKI STAA BONGO MOVIES!

STAA wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa hana rafiki yeyote maarufu ndani ya Bongo Movies.
Staa wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford.

Akizungumza na paparazi wetu, Shamsa alisema kuwa tangu huko nyuma alishawafuta marafiki wote ambao ni wasaliti na badala yake mtu pekee ambaye ni rafiki yake ni mwigizaji mwenzake, Wellu Sengo ambaye anachipukia.
“Unajua ni bora uwe hata na rafiki mmoja ambaye anakujali na kukuthamini, wengine wote mimi niliwafutilia mbali kwa sababu ukiwa nao wengi wanaweza kukutia hata ‘stress’ zisizokuwa na maana kabisa,” alisema Shamsa.

ETI WANAWAKE WANENE JIKONI NI SHIDAAA KULIKO VIMBAO MBAO


Duniani kuna tafiti nyingi na mara nyingi
wataalamu wa masuala mabalimbali huja na
tafiti tofauti tofauti...
Moja ya tafiti ambayo imenivutia kiasi cha
kuja hapa jamvini ni utofauti wa ufundi wa
jikoni baina ya mwanamke kimbaumbau na
yule mwenye neema za allah "curvaceous" ...

Thursday 28 August 2014

MATATIZO KATIKA TENDO LA NDOA

Tatizo hili huwapata wote wanawake na wanaume.  Tatizo katika tendo la ndoa ni pana sana, yapo matatizo ya jumla ambayo hutokea pande zote mbili na yapo matatizo yanayowapata wanawake peke yao na yapo yanayowapata

POCHI LAMUOKOA KAJALA KUKAA NUSU UTUPU

Msanii wa filamu, Kajala Masanja, hivi karibuni alijikuta akiwa kwenye wakati mgumu baada ya kukaa kwenye kiti na kuachia sehemu zake nyeti kiasi cha kuwatoa udenda baadhi ya wanaume.

SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA

Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia

KONDOM ZA MALAYA WA MOROGORO ZAHATARISHA.MAISHA YA WATOTO WA SHULE

Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji
wa Morogoro imegeuka kuwa kero kwa
wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali
inayowaweka hatarini zaidi watoto
wadogo wasio na hatia wanaokutana na
kondom zilizotumika huku mkuu wa
Mkoa huo, Mheshimiwa Joel Bendera
akinawa mikono kuhusu suala hilo.
Wakati hayo yakiendelea Morogoro,

MAPENZI:JIFUNZE JINSI YA KUTEKA HISIA ZA MPENZI WAKO...!

NAAMINI rafiki zangu wote mtakuwa wazima wa afya njema, kama mimi na mpo tayari kuanza darasa hili jipya baada ya kumaliza somo lililopita last week. Karibuni tujifunze pamoja na ninaomba utayari wako ili uweze kuingiza kitu kipya ubongoni mwako.

Wednesday 27 August 2014

Tuesday 26 August 2014

ASHA BOKO AIMBISHWA ‘TOILET’

Msanii maarufu wa komedi, Asha Mzuzuri maarufu kama Asha Boko, Alhamisi ya wiki iliyopita alinaswa na kamera yetu akiimbishwa na njemba eneo la choo cha wanawake ndani ya Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam siku ambayo

KHADIJA KOPA AWACHANA WASIOHESHIMU WAUME

MALKIA wa muziki wa Taarab Afrika Mashariki, Khadija Omary Kopa amewachana mastaa wa kike wasioheshimu waume zao kwa usupastaa wao, akisema suala hilo limewafanya washindwe kudumu katika ndoa zao.

MPENZI AMALIZA STRESS ZA AMANDA

BAADA ya kusumbuliwa na presha ya kushuka mara kwa mara, iliyosababishwa na stress za kutendwa na wanaume, hatimaye msanii wa filamu Bongo, Tamrina

BABY MADAHA: AJIWEKA KIMAPENZI KWA WYRE

MWANADADA  anayefanya vizuri katika muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ kwa sasa amejiweka kimapenzi na msanii anayetamba Kenya, Kevin Wyre baada ya kuwepo kwa tetesi za kutemana na mtu wake wa awali,

MTOTO BONGE KUPELEKWA INDIA


HATIMAYE Mtoto Grace Simon (14) (pichani) ambaye ameacha shule kutokana na tatizo la unene wa kupindukia, sasa atapelekwa India kwa ajili ya matibabu kwa gharama za serikali.

Monday 25 August 2014

MAKUBWA HAYA: DAKTARI ABAMBWA NA MAITI DUKANI


UKANJANJA! Jeshi la Polisi wilayani Ikungi, Singida linamshikilia daktari anayedaiwa kuwa ni feki, Prosper Samson (pichani) kwa madai ya kumtibu mgonjwa Jibuli Mahende, mkazi  Kijiji cha Iyumbu, Sepuka na kumsababishia

Sunday 24 August 2014