Thursday 21 August 2014

HII NOMA SANA. MAKALIO YA ANTI LULU YASABABISHA AJALI


MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali , Lulu
Semagongo ‘ Aunty Lulu ’ ametoa kali ya
mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na
makalio yake makubwa, anapokuwa
anatembea barabarani husababisha ajali kwani

baadhi ya madereva wakware hukosa umakini
kwa kumkodolea macho. Akizungumzia makalio yake na matiti
anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za Kichina,
Aunty Lulu alisema: “ Unajua umbile langu
linawachengua sana baadhi ya wanaume ,
achilia mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi
ya madereva ninapokatiza barabarani
hunikodolea macho na kushindwa kuwa
makini . “ Matokeo yake baadhi hugonga magari
mengine na wengine hujikuta wakipeleka
magari yao pembeni bila kujijua na kupata
ajali, uroho wao unawaponza . ”