Friday 29 August 2014

TANYA AIGIZA AKIWA UCHI KWENYE BEHIND THE SCENE YA FILAMU YA HOUSE OF LUNGULA

Mwanadada Saraha Hassan a.k.a Tanya kutoka
Kenya ameigiza akiwa utupu kwenye moja kati ya
vipande (scenes) za vichekesho vya mapenzi
nchini Kenya, vijulikanavyo kama HOUSE OF

LUNGULA...Vichekesho hivyo kwasasa vimepigwa
marufuku kuonyeshwa kwenye TV za Kenya.