Tuesday 26 August 2014

Muangalie mwanaume huyu akipigana na chatu wakubwa kwa mikono mitupu akiwatoa porini wasile wanyama

Video: Muangalie mwanaume huyu akipigana na chatu wakubwa kwa mikono mitupu akiwatoa porini wasile wanyama Ruben Ramirez mwenye miaka 41 ameamua kujitolea kuingia porini huko Florida, Marekani kupambana na nyoka wakubwa ambao walivamia eneo hilo tangu mwaka 2000 na kula wanyama mbalimbali katika maeneo hayo.