Wednesday 31 August 2016

Hatua Za Kumjeuza Rafiki Yako Kuwa Mpenzi Wako

Kuna baadhi ya wanaume ambao wanajiskia kuwa na furaha wakiwa na marafiki zao wa kike ambao wanawapenda kisiri, lakini kama umechoshwa na kuboeka kuwa rafiki pekee na mwanamke unayempenda, basi huu ndio wakati mzuri wa kujeuza gemu yako kabisa.

Jinsi Ya Kuwashawishi Wanawake Watoke Out Na Wewe

Kabla hujaendelea kusoma chapisho hili, nataka ufahamu ya kwamba kuna njia moja pekee ya uhakika ambayo unaweza kuitumia kuepuka kukataliwa na wanawake katika dunia na miaka ya kisasa, nayo ni kukaa nyumbani na kuepuka kutangamana na wanawake kabisa.

Mambo Ya Msingi Unapotongoza Mwanamke Katika Kikundi

Kutongoza ni sanaa ambayo inahitaji mmoja kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili aweze kuwa na ustadi ambao unaweza kumnufaisha au kumsaidia mhusika wakati ambapo anakabiliwa na tatizo la kumshawishi mwanamke. Ijapokuwa kuzijua sanaa hizi dhidi ya

Mbinu Za Kumchokora Mwanamke Kihisia

Je una ndoto ya kutaka kuwa na nguvu ambazo zitaweza kuwafanya wanawake wakuandame na kukupigania kila wakati? Ijapokuwa hii inaweza kuwa ndoto kwa wanaume wengi kule nje, wanaume wengi wanadhania kuwa jambo kama hili haliwezekani katika maisha

Huu Ndio Umuhimu wa Kuhonga Katika Mapenzi.

1. KUHONGA HUBORESHA MAPENZI:Fahamu kuwa unapomhonga mpenzi wako unamfanya ajihisi kama ni wapekee kwako, atajiona kama ni mmoja wapo kati ya watu wenye thamani kwako na huamini kama kweli upo karibu yake na unamjali.

Tuesday 30 August 2016

Monday 29 August 2016

Nampenda sana boyfriend wa rafiki yangu.

MSAIDIENI HUYU MSICHANA:
Pole na kazi Mpekuzi, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, nina rafiki yangu ambaye nimesoma naye na ni kama ndugu yangu wa damu kutokana na tulivyo na watu wote wanajua kwamba mimi ni yeye na yeye ni mimi.

Mtandao wa BADOO unanivunjia uchumba wangu

Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na soon tulikuwa tunasubiri jambo fulani ili mwezi wa 11 tufunge ndoa, kimsingi tunapendana sana, sijawahi hata siku moja ku-notice jambo lolote baya kati yetu linaloweza kuleta labda ugomvi

Nimetembea na mke wa boss na kapata ujauzito.

Mimi ni dereva namuendesha mke wa boss wangu. 
Toka nimeanza kazi hii yapata mwaka mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia, kuna siku tulisafiri kwenda Mtwara kwenye biashara za huyu mama,

Ushauri: Nilizaa na dada yangu, Je nitapata laana?


Mpekuzi habari za kuhaingaika, 

Kwetu tumezaliwa wawili tu mapacha , Mimi na Dada yangu, baba yetu alikua mkali na mkoloni sana hatukuruhusiwa kutoka nje kabisa labda shule tu na tulienda na Gari la nyumbani

Nimerekodiwa video ya ngono bila kujijua. Nifanyeje?


Wadau natumaini mu wazima Mi ni mjasiriamali toka Arusha but huwa nakuja Dar kwa ajili ya kuchukua bidhaa, nikiwa Dar napenda kujibururdisha ama MEEDA au KONA BAA/AMBIANCE AFRIKA SANA huwa nikipata demu wa kupiga nampelekaga Guest/hotel

VUA NGUO NIKUPE UTAMU!!!!!!!!


Jamani hii sio falsafa ya kaka yangu Simon Mkodo wa Kitururu, kwa hiyo naomba msistushwe na kichwa cha habari hapo juu. Jana nikiwa nimejipumzisha nyumbani baada ya kutoka kanisani, niliamua kufungulia redio ili kusikiliza habari mbali mbali.

Tuesday 23 August 2016

Monday 22 August 2016

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako

Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya

Mambo Ya Msingi Unapotongoza Mwanamke Katika Kikundi

Kutongoza ni sanaa ambayo inahitaji mmoja kufanya mazoezi ya mara kwa mara ili aweze kuwa na ustadi ambao unaweza kumnufaisha au kumsaidia mhusika wakati ambapo anakabiliwa na tatizo la kumshawishi mwanamke. Ijapokuwa kuzijua sanaa hizi dhidi ya wanawake

Hatua Za Kumfanya Mwanamke Amuache Mpenzi Wake Aje Kwako

Wakati umekutana na mwanamke mrembo halafu ukapiga naye gumzo zuri, unaweza mwisho kugundua kuwa ana boyfriend. Ama labda una rafiki mwanamke mrembo ambaye tayari ana mpenzi. Kwa njia yeyote ile, kujua kuwa mwanamke amechukuliwa kunaweza

Jinsi Ya Kuwashawishi Wanawake Watoke Out Na Wewe

Kabla hujaendelea kusoma chapisho hili, nataka ufahamu ya kwamba kuna njia moja pekee ya uhakika ambayo unaweza kuitumia kuepuka kukataliwa na wanawake katika dunia na miaka ya kisasa, nayo ni kukaa nyumbani na kuepuka kutangamana na wanawake kabisa.

Sunday 21 August 2016