Tuesday 30 August 2016

NAPENDAA WANAUME WENYE SIFA HIZI......SOMA HAPA KAMA NI MMOJAWAPO NIMEACHA NAMBA ZANGU ZA SIMU

Hii kitu imenitokea sana mara nyingi
Napenda kudate na wanaume maarufu tu na pindi nikiwa ktk mahusiano na mwanaume maarufu najickia nipo salama sana hata kama hanisaidii chchte nainjoy mbaya kuliko nikiwa na mtu aso na jina hapa town
Tatz nikiwa na mtu hata kama ananijali na anasifa zote lkn hana jina nakuwa mnyonge simfurahii
Nawezaje kuondokana na hili tatizo