Wednesday 17 August 2016

HIKI NDICHO WALICHOKIFANYA WASICHANA WA "BORDING" BAADA YA MSICHANA MWENZAO KUCHUKUA BWANA WAO.

Jamani mambo ya bodi kwa tuliopitia kuna raha zake na huzuni zake,huyu msichana atakumbuka hili tukio maisha yake yote jamani.Lakini ndio ladha ya shule hiyo jamani.Wasichana wenzake wamegundua kwamba anatoka na mvulana wao ,wao walichokifanya ni kumchukua yule msichana na kumfanyia kipigo cha maana.