Wednesday 17 August 2016

[VIDEO]VIDEO YA MTOTO MKUBWA WA OBAMA,"MARIA" AKIVUTA BANGI YAVUJA NA KULETA GUMZO KUBWA MTANDAONI,TAZAMA HAPA LIVE KABISA.

Maria obama ametuhumiwa kuvuta bangi baada ya video ya yeye kutoka akiwa kashika sigara,imeleta gumzo kubwa sana mtandaoni.
Shahidi anasisitiza kuwa binti mkubwa wa Obama alikuwa ameshikilia kipande cha msokoto wa bangi wakati akiwa katika tamasha linalojulikana kama Lollapalooza.



Wakati kuvuta sigara hakufani na wala hakuonyeshi picha nzuri ya ikulu,mazao kama hayo ya bangi yamekuwa maalufu sana katika mji huo wa Illinois ambao tamasha hilo la lolapalooza lilikuwa linafanyika .

Na kama kweli Maria obama alikuwa anavuta bangi basi hatakuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo kwenye familia yao