Wednesday 1 June 2016

Siri ya mpenzi mpya wa Drake yaanza kufahamika


Staa wa muziki wa Marekani, Drake ameanza kuhusishwa kuwa na mahusiano na mwanamitindo, Hailey Baldwin (19). Usiku wa Jumanne, Drake alionekana kwenye mitaa ya Los Angeles akiwa ameambatana kwa karibu na mwanamitindo huyo [Hailey Baldwin] wakiwa kwenye mgahawa wa Ysabel.
http://bongopublisher.blogspot.com/2016/06/siri-ya-mpenzi-mpya-wa-drake-yaanza.html