Saturday 28 February 2015

Friday 13 February 2015

Thursday 12 February 2015

VALENTINES DAY IMEFIKA, TUSIPOTOSHE MAANA YAKE



Valentines Day ama kwa Kiswahili Siku ya Wapendanao, huadhimishwa kila Februari 14 ambapo kadiri siku zinavyozidi kusonga mbele, siku hiyo inazidi kuwa maarufu na kuadhimishwa kwa shangwe ingawa wengi hushindwa kuelewa hasa maana yake.

DUNIA INAKWENDA WAP?!!TAZAMA DOCUMENTARY YA MASHOGA WANAOJIITA GULLY QUEENS [PHOTOS]

Siku tatu zilizo pita kituo cha Television cha VICE News documentary wamerusha documnaty ya kikundi cha vijana waishio mji wa Kingston .Jamaica.

Nnchini Jamaica, kuvamiwa, kubabwa,kuuwawa ni vitu vya kawaida kwa MASHOGA...Kutokana na hali hiyo wanaisha mashashaka na wapo chimbo wamejificha ....hebu cheki baadhi ya picha za LAIFU STAILI yao...















Mungu atusamehe....asituangamize kwa maji au moto!!!

Wednesday 11 February 2015

MAKAHABA WA INDIA WAMWAGA CHOZI AIR PORT


MABINTI 22 wa Kihindi na Kinepal walioingizwa nchini kufanya biashara ya kuuza miili, wamenaswa wakimwaga machozi hadharani kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar wakisikitikia kuwakosa wateja wao Wabongo ambao inadaiwa walikuwa wakiwalipa vizuri.

Tuesday 10 February 2015

USHAURI WAKO TAFADHALI: MKE WANGU ANANISHAURI NIMUOE RAFIKI YAKE








Takribani miaka kumi na mbili sasa katika ndoa yetu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wote wa kiume. Mke wangu ana rafiki yake wa muda mrefu sana (mchepuko wangu) tangu wakiishi udogoni na kusoma

wote huko shinyanga ingawa wametofautiana miaka kama minne hivi (huyo rafiki ndio mkubwa kwa wife ila mdogo kwangu).
Siku ya jumatatu hii iliyopita (18-08-2014) baada ya kupata chakula cha jioni na watoto kwenda kulala ndipo akanijia na hiyo "surprise" ambayo sitasahau maishani mwangu. Aliniambia kama ninaweza nimuoe tu huyo rafiki yake maana ana miaka takriban 34 sasa, na ni "bila bila"(kakosa mume).
Kwa kuwa sisi watu wa mkoa wa Mara kimila tunaruhusiwa ata wake wanne, hivyo kumuweka ndani itakuwa nimempunguzia aibu ya kukosa mume huyo mwanamke waliyeshibana sana, sasa machale yamenicheza, naona kama wife ameshtukia "issue ya kuchepuka" sasa kanitega aniingize kingi.
Najiuliza sijui ni mpe jibu gani wife aisee, naombeni busara wakuu wenzangu maanake naona kama "nimekamatika vile"

HIZI NDIO SEHEMU NYETI 12 MUHIMU ZINAZO MPA RAHA MWANAMKE

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu. Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza

Monday 9 February 2015

Sunday 8 February 2015

MWANAMKE MZURI ANAPASWA KUWA NA VIGEZO GANI?

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko poa, ni Jumatatu nyingine ninapokukaribisha kwa moyo mkunjufu kwenye busati letu la mahaba, tukijuzana na kuelimishana mambo mbalimbali yanayohusu uhusiano wa