Monday 9 February 2015

MADONNA AONYESHA MAKALIO YAKE KATIKA RED CARPET ZA TUZO ZA GRAMMY 2015

Madonna akionyesha makalio yake.
MWANAMUZIKI mkongwe wa muziki wa Pop nchini Marekani asiyeishiwa vituko, Madonna jana ametoa kali nyingine baada ya
kuinua juu gauni lake na kuonyesha makalio yake wakati akipiga picha za red carpet kwenye zoezi la utoaji Tuzo za 57 za Grammy.

Madonna akiwasili katika red carpet ya Tuzo za Grammy 2015 akiambatana na mwanamuziki Nas.
Madonna akipozi kwenye red carpet.
Madonna mwenye miaka 56, aliinua gauni na kuacha makalio yake wazi wakati wa zoezi hilo lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Staples Centre jijini Los Angeles, Marekani.