Saturday 28 February 2015

PICHA HIZI HAPA ZA MPENZI WA DIAMOND,ZARI AKIWA BAFUNI ZAZUA GUMZO MDOMONI MWA WATU



Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadil

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo:
 

faridahfakhi :Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu

santamolly1234: ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata na dogo still mnasema anajua kulea labda kumlea mond hapo sawa....by de way nahis alivuka stage coz kasoma sana so bata ndo anazianza so cwez mlaum sanaaaaaaa muache ale maisha tuuuu.

faridahfakhi Sasa nashindwa kuelewa ivi we wewe ndo unajianika ivyo alafu ndo uwe mke labda wa fission show

ladymodal Simama tukuoneee....bad!