Tuesday 10 February 2015

WAZIRI ADAIWA KUMHONGA GALI LA MILLION 200 MDADA HUYU MREMBO


Mwanamke Mmoja anayedaiwa kuwa ni mwana mke mvuto zaidi nchini Uganda.Aliyejukilana la Audrey, Meshika vichwa vya Magezeti nchini humu kwa madai kwamba alihongua
gari lenye thani ya shillings million mia na mbili na waziri mmoja inchini humu. Kusababisha waziri huyu kurudi nyumbani kwa Tax. waziri huyu alikuwakatika shuguliza zake za binafsi ambazo si za kiserikali. katika hotel moja kubwa jijini kampala.