Saturday 7 February 2015

UNA KILA SABABU YA KUOGA NA MPENZI WAKO..SOMA HII UTANIELEWA.

Unapo kuwa nyumbani , tena ni vizuri ikiwa weekend mkiwa wote mko nyumbani, hakikisha unapata nafasi ya kuoga pamoja na mpenzi wako,
hivi ni vitu vidogo dogo sana vinavyoweza kufanya mapenzi yenu yawe mapya kila siku.

Wakati wa kuoga fanya mbwe mbwe kidogo msugue mwenzako, mgongoni hata sehemu nyingine hii sio kwa wanawake tu hii ni kwa wapenzi wote wawili tena hususani zaidi kwa wanaume hili ndio zoezi lao, mkimaliza kuoga chukua taulo na mfute mke wako vizuri kisha, chagua yale mafuta anayoyapenda zaidi mpake huku mkipiga tale mbili tatu.

Inabidi tufahamu kuwa kunavitu unaweza kuviona ni vya kipuuzi sana kwenye mapenzi lakini, ndio vinavyokukosesha maksi kila siku. Usipomfanyia hivyo kuta watu wengine watafanya halafu utaonekana huna maaana..!! Kantagaze Nimekwambia