Wednesday 17 August 2016

[VIDEO]AIBU YA MWAKA HII::MCHUNGAJI MWINGINE AFUMWA AKIWA NA MKE WA MTU HOTELINI,TAZAMA VIDEO HAPA CHINI NI AIBU!

MAAJABU YA MTANDAONI BOFYA HAPO CHINI HUTAAMINI MACHO YAKO
Mchungaji mwingine aliyejulikana kwa jina la Loft Matambo,siku ya jumatano mchana alikamatwa live kabisa akila tunda lililozuiliwa la mmoja wa washirika wake wa kanisa ambaye tayari amekwisha olewa na mwanamme mwingine

Mchungaji huyo alikamatwa akiwa katika harakati za kuzini na mke wa watu baada ya mwanamme huyo kuweka mtego wa wawili hao.Licha ya kuwa wamefumaniwa live ,mwanamke huyo alionekana kutabasamu mda wote.Kwa upande wa mchungaji yeye alidai kuwa alikuwa anafanya maombi na mwanamke yule