Friday 27 June 2014

MMMH DIVA AACHIA UTAMU WAKE NJE NJE...TAZAMA PICHA HAPA



Daaah hii kali sana.....Diva wa Clouds FM leo hii kupitia mtandao wa INSTAGRAM ameshangaza wengi na kuwapa chakusema wale wanao mponda kuwa ana UMBO bovu
yani baya......na huwa ana EDIT picha zake....

Sasa leo ameibuka INSTAGRAM na kuanza bwaga picha  zaidi nne akiwa amevaa ngua za kulalia ...na kushusha ujumbe mzito kwawanao mponda