Wednesday 18 June 2014

HIVI NDIVYO VIGEZO VINAWEZA KUSABABISHA MWANAUME KUKIMBIWA NA WANAWAKE?...!!!SOMA ZAIDI HAPA

1. Wakikosa attention yako. Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa
unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana
mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo
haumtimilizii haja zake. Hata kama kilakitu kinaenda sawa. Msikilize

anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine
ambaye yupotayari kumtimizia.2. Kumuheshimu. Msichana huwa anajitoa
sana awapo katikamahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa
chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile
ambacho amekufanyia.3. Usaliti. Unaposaliti inamaanisha kuna kitu
hakipo sawa
katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia
lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na
msichanamwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako
akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha.4.
Ukosefu wa hisia za kimapenzi. Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa
wanathaminwa na wapenzi wao wanawajali sasa wakiona kuwa hakuna
conection ya hisia za kimapenzi kutoka kwa mvulana wake huona kuwa
hakuna mapenzi ya kweli katika uhusiano aliopo5. Hawapendi kusikia
kuhusu mapenzi mara kwa mara wasichana
hupenda kutumia muda mrefu na
wapenzi wao bila kusikia neno la kuwataka wafanye mapenzi kama ukiwa
nao na ukawataka kimapenzi mara kwa mara watakuwa wanakuavoid hata
utakapokuwa ukiwagusa.6. Unapomcontrol sanamsichana humpenda mvulana
atakayemlinda na kujiona yupo sehemu salama sio kumdhibiti kufanya
mambo yake mengine anapenda uhuru.