Tuesday 24 June 2014

Jinsi ya Kumridhisha Mwanamke Kimapenzi: Mambo matano (5) anayohitaji Mwanamke kutoka kwa Mwanaume

Wanaume hatimaye kutambua
kwamba hawapo peke
yao kitandani na kwamba kumridhisha mw
anamke ni muhimu katika kudumisha u
husiano wa kimapenzi! Kuchukua
hii kutoka
kwangu nawaambieni, haya mambo matan
o yakitekelezwa kwa
ufasaha, yatafanya mwanamke wako achan
ganyikiwe zaidi kila saa!

1. Wanataka uwe wa mwisho kumaliza:
Kawaida wanawake huchelewa
kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume,
wastani wa dakika 8 zaidi wakati
kikawaida wanaume wengi humaliza
mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!
2. Anapenda umpe maandalizi ya
kutosha: Mwanamke huhitaji mda huu
kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na
kulainisha uke wake vizuri tayari kwa
kuingizwa! Asipopata mda mzuari wa
maandalizi, tendo zima hugeuka
kuwa la
maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia
nzuri ya kumsogeza kazibu na kilele.
3. Kuchezea kinembe! Kinembe ni sehemu
ambayo misisimko mingi kama sio yote,
huanzia. Ukidharau kinembe basi kwa
hakika inatosha kabisa kumfanya
mwanamke asiridhike!
4. Maongezi ya kingono: Anapenda sana!
Anapata nyege sana anaposkia kuwa
unatamani sana kumridhisha! Mwabie
utamfanyia nini na utamfanyaje na
kwamba lengo lako ni kumpa utamu
usio semeka!
5. Muulize ni kitu gani hasa anatamani
umfanyie kitandani: Kila mtu ni tofauti
inapokuja kwenye swala zima la ngono.
Njia pekee ya uhakika ya
kujua nini
mwanamke anapenda kutoka kwako ni
kumuuliza. Udadisi wako unaweza pia
kumfanya akutamani zaidi.
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha
mwanamke kimapenzi! Unahitaji udadisi
kidogo na kujifunza zaidi