Saturday 28 June 2014

HAMISA MOBETO ATUPIA PICHA KUONYESHA UTAMU WA MIGUU YAKE, AWAUMBUA WANAOHISI ANA MIRONJO


 modo matata anayetikisa afrika mashariki kiujumla AMISA  MOBETO ametupia picha instagram picha ambayo inaonyesa miguu yake ilivyojaa vizuri na si mironjo kama walivyo mamodo wengi, picha hii ieonekana kuwapagawisha vidume sana kwani imepata like za kutosha tangu alipoitupoitupia  komenti husipime