Saturday 21 June 2014

JINSI MWANAMKE ANAVYOWEZA KUMUONGEZEA MWANAUME NGUVU ZA KIUME NA MSULI KUSIMAMA KISAWASAWA KWA KAZI YA KUKUNA MWANZO MWISHO


 Mwanamke anaweza kumuongezea mume wake nguvu za kiume ili ashiriki vizuri tendo la ndoa. Akitaka kufanya hivi basi mara kwa mara amtayarishie vyakula ambavyo havina mafuta

mengi wala chumvi nyingi, pia ampe vitu kama karoti 
mbichi,muhogo mbichi,mahindi ya kuchoma,nyama ya mbuzi na asali bila kusahau pweza na supu yake.
Naimani tumeelewana kwa hili kama haujanielewa ama una swali waweza uliza swali lako milango iko wazi.