Wednesday 18 June 2014

HIZI NI NJIA KUU TATU ZA KUFANYA MATITI YAKO YASILALE..!!

Kwanza kabisa hakikisha mtindo wakulala ni kifudifudi (kulalia tumbo),
kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako
pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala

chali(lalia mgongo) au kiubavu.Zoezi...1 Asimame wima dhidi ya mlango
au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie
(ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe
kama dada mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila
asubuhi.Zoezi....2 Simama
wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku
na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe
nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani
sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na
ongeza hesabu njinsi unavyokua.Zoezi...3 Ukiwa umesimama wima na
mikono yako imenyooshwa
huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na
kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa
(imenyooka huku na kule).