Tuesday 24 June 2014

MAMBO MAZURI HAYAITAJI HARAKA PATA KUFAHAMU MWANAMKE NA JINSIA YAKO


Wanawake wengi hawajui kuwa wana uke wenye kasoro na unaoshindwa kutosheleza kiu
ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa kwa sababu wanaume hawajawaambia ukweli wanaume hao huona urahisi kuwaelezea wanaume wenzano lakini kamwe hawawezi kuwaambia wapenzi wao.
Njia pekee ambayo mwanamke atapata taarifa hii muhimu kutoka kwa mwanaume ni pale atakapoweza kumkasirisha sana mwanaume huyo.
Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha mwanamke kuwa na uke mpana na mlegevu mwanamke anaitwa ni mwenye uke mpana na mlegevu pale ambapo kuta za uke wake zimelegea na mlango wa uke wake haubani uume kikamilifu. Zifuatazo ni sababu kuu za mwanamke kuwa na uke mpana na mlegevu.
(1)       KUJIFUNGUA MTOTO
Furaha ya kupata mtoto wa kwanza inakuja pamoja na gharama za kushindwa
kumridhisha mwanaume wakati wa tendo la ndoa kama ilivyokuwa mwanzoni. Wakati wa kujifungua uke na mlango wa mfuko wa uzazi kutanuka na kujibana mara nyingi sana kipindi chote cha utungu wa uzazi. Kitendo hicho kikichanganywa na msukumo mkubwa wa mwili wa mtoto mchanga kunapelekea uke kupanuka na kuwa mlegevu.
(2)       TENDO LA NDOA
Ukifanya mapenzi na mwanaume mwenye uume mkubwa kwa muda mrefu uke wako utapanuka na kuwa na hali ya ulegevu katika kuta zake na mlango wa uke pia. Hali hii hutokea kwa kuwa misuli yenye uwezo kama wa mpira unaovutika vutika baada ya kuvutwa mara nyigni hupoteza nguvu yake ya kuvutika na kurudia hali ya kawaida.
(3)       KURITHI
Utafiti unaonyesha kuwa wanawake wengine wenye tatizo hili ni kwa kuwa wamerithi toka kwa wazazi wao au babu zao pia. Utafiti huo ulifanyika miongoni mwa kina
dada wenye umri kati ya miaka 12 na 19 na wachache waligundulika kuwa na uke mpana na mlegevu japo walikuwa hawajaingiliwa na mwanaume yeyote.
(4)       MENGINEYO 
Wanawake ambao huinua vyuma vizito vya mazoezi wamkutwa kuwa na tatizo hilo ukilinganisha na wale ambao hawafanyi mazoezi hayo. Lingine ni kwa wanawake wenye tatizo la kuvimbiwa mara kadhaa wakati wa ujana wao pia hao hukumbwa na hasira hii mbaya. Wanawake wenye umri mkubwa pia nao hukutana na tatizo hili linalokosesha raha.
Wanaume wengi wana uwezo wa kuiona tofauti iliyopo kati ya uke unaobana vizuri .Pamoja na mambo mengi ambayo wanawake huyazungumzia jambo la uke mlegevu halizungumziwi kwa kuwa wengi wanaamini kuwa sio jambo muhimu sana.Ukweli ni kwamba tatizo hili laweza kusababisha mwanaume akamuacha mwanamke na kama nilivyogusia hapo  juu ni wazi usaliti wa wanaume wengi huanza kipindi cha mama anapojifungua.
      Kumbuka kuwa haitoshi tu kuwa na uke kumridhisha mwanaume,kuwa na uke haimanishi kuwa uke wako ni mzuri wenye sifa anazohitaji mwanaume.Japokuwa wanawaka hawajagundua hili kwa pale mwanaume anapoingiza uume wake na kuanza kuchikuchi yake tayari anagundua kuwa mwanamke huyo ni mtamu na anafaa kuwa wa kudumu au mwanamke huyo ametepeta kama wali uliopikwa na maji meeengi unavyokuwa tepetepe na hiyo kumpa mwanaume huyo sababu ya kuvuruga na kuondoka katika uhusiano huo.

HAYA VILAZA COPINI KIISTAARABU KWA KUTOA LINK SIYO OMBI VINGINEVYO UKICOPY KIJINGA NAKUCHAFUA JINA BALAA.