Friday 27 June 2014

HARUFU NZURI UKENI.. ''Harufu Mbaya Katika Mwili Wa Mwanamke Ni Jambo La Kuepukwa Kabisa" Pata Maujanja Hapa



Kutokana na matatizo mengi yanayojitokeza katika mahusiano ya jambo jema na kujiepusha kabisa na mambo amboyo yanaweza kuwe kero au kuleta huzuni kwa mpenzi wake... Harufu mbaya katika mwili
wa mwanamke ni jambo la kuepuka kabisa!! Tena narudia, epuka jambo hili kwa uwezo wako wote!!!. Kwanini nasisitiza hili?? Ukweli, ni wanaume wachache
watakuwa na ujasiri kwa kukuambia jambo hili na kama hali hii ikijitokeza wakati wa uchumba basi inaweza kuhatarisha u hum a huo.... Na zaidi ya yote wanaume wengi wana matatizo ya nguvu za kiume na hivyo iwapo wanaume atakutana na harufu mbaya basi mawazo yake yakihama si ajabu na nguvu zote kuyeyuka pia.. 

``````````````````````````````````````````````````````````````````````ITAENDELEA KESHO...